naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Mtaani hakuna ke hadi achukue mwanafunzi?, Ni kweli wameshindwa hata kutumia Kinga? Je Hadi hapo unamuona yupo salama? Maana mimba haijatoka unategemea nini kitafuata? Anammimba Mtoto wa watu halafu anakuwa bahili ajiandae tu maana huyo bint akizidiwa atamtaja tu.kwahyo ultaka mwenzio akapigwe mvua ya miaka 30?? unaongea kama hujui umuhim wa alichokifanya.