Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Amekwenda mbali mkuu,Mpe kampuni moja atarudi[emoji23][emoji23]
Basi nikisikiliza hilo song hakika kamoyo kanafurukuta.Oh georgina...!!Siku uliyoondoka uliniacha nalia na machozi, umeenda kuishi mbali nami georgina wa mama,sipati usingizi nikikumbuka tulivyoishi Mimi na wewe Georgina.. [emoji445][emoji442]
Oh georgina...!!Siku uliyoondoka uliniacha nalia na machozi, umeenda kuishi mbali nami georgina wa mama,sipati usingizi nikikumbuka tulivyoishi Mimi na wewe Georgina.. [emoji445][emoji442]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwakweli...Umeondoka Georgina umeniachia masikitiko Georgina Georgina eh! Lini utarudi uniondoe wasi wasi Georgina Georgina eh!
Jabari la Muziki hilo.
Polee kakuacha huyo..Basi nikisikiliza hilo song hakika kamoyo kanafurukuta.
Ahsante naendelea kupoa taratibuPolee kakuacha huyo..