Mambo vipi wanaume wenzangu?
Ebana me msichana wangu namshangaaga sana, kama kunipenda ananipenda hilo halina mjadala, lakini tangu tuanze safari ya mapenzi yetu hajawahi kunipiga busu kabisa ingawa me daily huwa namkiss, nikimuuliza why this, anasema eti ye hajazoea..sasa wakuu nimfanyaje huyu mtu ili nae azoee aina hii ya mahaba?
Mambo vipi wanaume wenzangu?
wanaume pekee ndo wanaweza kujibu na akati shida iko kwa binti???????????