Mpenzi wangu hajawahi kunibusu

Mpenzi wangu hajawahi kunibusu

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Mambo vipi wanaume wenzangu?

Ebana me msichana wangu namshangaaga sana, kama kunipenda ananipenda hilo halina mjadala, lakini tangu tuanze safari ya mapenzi yetu hajawahi kunipiga busu kabisa ingawa me daily huwa namkiss, nikimuuliza why this, anasema eti ye hajazoea..sasa wakuu nimfanyaje huyu mtu ili nae azoee aina hii ya mahaba?
 
Ukiona hivyo jua kuna mwingine anambusu lakin yote ya nini kama hakupendi hakupendi tu
 
Mambo vipi wanaume wenzangu?

Ebana me msichana wangu namshangaaga sana, kama kunipenda ananipenda hilo halina mjadala, lakini tangu tuanze safari ya mapenzi yetu hajawahi kunipiga busu kabisa ingawa me daily huwa namkiss, nikimuuliza why this, anasema eti ye hajazoea..sasa wakuu nimfanyaje huyu mtu ili nae azoee aina hii ya mahaba?

We hujiongez tuu mpk apo kama una actiwaaa@
 
Hana hisia za kweli na wewe. Inawezekana kuna kitu fulani tu kinachomfanya awe na wewe ila si mapenzi. Kiss is an automatic thing
 
ila kuda kidume fulan hivi tena 36 hajui kupiga ukimkomalia kiss me honeyyy atakupiga kama mtoto anakulamba nlichekaga sana dunia ina mambo lakini.

anyway mfundishe mkuuu am sure hajui na hawezi
 
  • Thanks
Reactions: amu
eithei unanuka mdomo sana or unamijasho mda wote anaona kinyaaa kupeleka lips..... utajitetea he he he harufu yako inakera japo ujioni kama unanuka .. yatanishinda loh
 
ina maana mpaka mfike kwenye ku-duu mnafanyeje? acha hizo dogo mfundishe taratibu na mwambie mie napenda mabusu halafu uone.

Unajua kuna usemi unasema, ukiona wewe tu ndo unampigia mwenzi wako simu naye hapigi ujue kuna wengine wanapigiwa.

So kama wewe hupewi busu kuna wengine wanapewa. huwezi nidanganya na hizi technology mtu hajui kupiga busu.

TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
 
Back
Top Bottom