Mpenzi wangu hajibu sms zangu, na nikienda kwake ananihoji kwa nini nimeenda?

Jamn Wana JF habari za muda huu, mimi nina mpenzi Wangu yaani hataki kupokea simu, Wala kujibu sms, na nikienda kwake ananiambia mbona hujatoa taarifa , jamani shida itakuwa ni nini hebu nisaidieni
Shida unaenda kwake bila taarifa na unamsumbua.
 
Jamn Wana JF habari za muda huu, mimi nina mpenzi Wangu yaani hataki kupokea simu, Wala kujibu sms, na nikienda kwake ananiambia mbona hujatoa taarifa , jamani shida itakuwa ni nini hebu nisaidieni
UKICHOKWA, CHOKAAA!!
 
Back
Top Bottom