kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wewe ni bwege mtozeni mpaka muda huu hujui kuwa hutakiwi!Jamn Wana JF habari za muda huu, mimi nina mpenzi Wangu yaani hataki kupokea simu, Wala kujibu sms, na nikienda kwake ananiambia mbona hujatoa taarifa , jamani shida itakuwa ni nini hebu nisaidieni