Mpenzi wangu hana chuchu

Mpenzi wangu hana chuchu

Makubwa haya,Tembea uone wahenga walisema ila usihofu KakaJambazi kwa kila Changamoto kuna suluhisho lake,Wasubirie wadau wa hii mambo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahaaaa! Sisemi Kitu Mi Napita2 Subl Wasemaji Waje!
 
Changanya Limao,tangawizi Na Pilipili Za Shamba! Kisha Tafuta Majani Ya Alovela+majani Ya Mwalobaini! Pondaponda Kisha Tia Maji Yaliyochanganywa Na -----! Mpakae Kila Asubuhi Na Jion! Baada Ya Kupakaa Nyonya Kwa Mda Wa Dakika5 Tatizo Lake Litaisha Ndani Ya Siku3
Kwa Mawasiliano Zaid Ni PM
 
Changanya Limao,tangawizi Na Pilipili Za Shamba! Kisha Tafuta Majani Ya Alovela+majani Ya Mwarobaini! Pondaponda Kisha Tia Maji Yaliyochanganywa Na -----! Mpakae Kila Asubuhi Na Jion! Baada Ya Kupakaa Nyonya Kwa Mda Wa Dakika5 Tatizo Lake Litaisha Ndani Ya Siku3
Kwa Mawasiliano Zaid Ni PM
 
aisee hii hatari ...
au ni under nine
 
Akiwa mjamzito zitakuwa kubwa maana hapo mama anajiandaa kwa ajili ya chakula cha mtoto. So kazana mkuu upachike kitu
 
Back
Top Bottom