Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Pole sana anaonekana ni mbinafsi roho mbaya mpumbavu sana huyo mpenzi wakoMpenzi wangu hanipi muda lakini yupo online muda wote
Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata siku nzima inapita bila kuongea naye vizuri.
Kinachonichanganya zaidi ni kwamba nikifungua WhatsApp namkuta online. Anaonekana kupost status, kuangalia status za watu na wakati mwingine anaonekana kwenye mitandao kwa muda mrefu.
Nikijiuliza, kama ana muda wa kuwa online, kwa nini hana hata dakika chache za kuongea na mimi?
Nimejaribu kumuuliza kama kuna tatizo au kama amechoka na mimi, lakini ananiambia sina sababu ya kuwa na mashaka na kwamba ana mambo mengi ya kufanya.
Lakini ukweli ni kwamba nimeanza kujisikia kama sina umuhimu tena kwake.
Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba zamani alikuwa mtu wa kunitafuta. Angeuliza nimeamkaje, nimefika salama au siku yangu imekwendaje. Sasa mimi ndiye ninayelazimika kuanzisha mazungumzo karibu kila mara.
Sijui kama mapenzi yamepungua au labda nimekuwa nikimlazimisha mtu ambaye tayari ameshaanza kuniacha moyoni.
Nimefika mahali najiuliza kama niache kumtafuta kabisa nione kama atanisikia au atanitafuta mwenyewe.
Kama ungekuwa kwenye nafasi yangu, ungefanya nini? Ungeendelea kumtafuta, ungekaa kimya mpaka yeye akufuate, au ungeamua kuachana?
Kila mwanamke unayemuona sio wa kitanzania Tu ni Dunia nzima Natafuta Mwanaume mwenye helaNilichogudua kwa wanawake wa kitanzania ni kwamba, wao hawataki kabisa kufikiri wanapataje Hela ila wapo bize kutafuta na kuwawaza wanaume. Yani suala la kutafuta hela hawataki kabisa kujihusisha nalo.
Njoo kwangu,, nakuhakikishia hutojutia 😎Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata siku nzima inapita bila kuongea naye vizuri.
Kinachonichanganya zaidi ni kwamba nikifungua WhatsApp namkuta online. Anaonekana kupost status, kuangalia status za watu na wakati mwingine anaonekana kwenye mitandao kwa muda mrefu.
Nikijiuliza, kama ana muda wa kuwa online, kwa nini hana hata dakika chache za kuongea na mimi?
Nimejaribu kumuuliza kama kuna tatizo au kama amechoka na mimi, lakini ananiambia sina sababu ya kuwa na mashaka na kwamba ana mambo mengi ya kufanya.
Lakini ukweli ni kwamba nimeanza kujisikia kama sina umuhimu tena kwake.
Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba zamani alikuwa mtu wa kunitafuta. Angeuliza nimeamkaje, nimefika salama au siku yangu imekwendaje. Sasa mimi ndiye ninayelazimika kuanzisha mazungumzo karibu kila mara.
Sijui kama mapenzi yamepungua au labda nimekuwa nikimlazimisha mtu ambaye tayari ameshaanza kuniacha moyoni.
Nimefika mahali najiuliza kama niache kumtafuta kabisa nione kama atanisikia au atanitafuta mwenyewe.
Kama ungekuwa kwenye nafasi yangu, ungefanya nini? Ungeendelea kumtafuta, ungekaa kimya mpaka yeye akufuate, au ungeamua kuachana?
View attachment 3654176
Mleta mada aanzie hapa, atafute kitu cha kumfanya kuwa busy.Tafuta kazi ya kukuweka busy! mtu asiwe online kidogo ushatuma msg ushapiga video call.
Muda mwingine mtu yupo online anawasiliana na wateja.
Nishakuambia wababa wa sasa hivi hawafai kuambiwa!😅Kamsemee kwa babaake
Hii imekaa kimasta sana,,kupunguza usumbufu😁Tafuta kazi ya kukuweka busy! mtu asiwe online kidogo ushatuma msg ushapiga video call.
Muda mwingine mtu yupo online anawasiliana na wateja.
Dah 😂Nishakuambia wababa wa sasa hivi hawafai kuambiwa!😅
Ofisini mtu kawasha wi-fi yake, ukituma msg zinaenda tiki 2 na yeye akichungulia anaona WhatsApp kuna msg lakini hadhubutu kushika simu muda wote macho ya Boss au kamera zinammulika.Hii imekaa kimasta sana,,kupunguza usumbufu😁
Yaani,haya mambo ya kuchart😁😁Ofisini mtu kawasha wi-fi yake, ukituma msg zinaenda tiki 2 na yeye akichungulia anaona WhatsApp kuna msg lakini hadhubutu kushika simu muda wote macho ya Boss au kamera zinammulika.
Pia ukute hapendwi😂Yaani,haya mambo ya kuchart😁😁
Yaani inabidi amsome mpenzi wake.
Kuna anempenda anaechart nae 24hrs.Pia ukute hapendwi😂
Jaribu kuacha kumtafuta sana na yeye aku miss.Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.