Mpenzi wangu hanipi muda lakini yupo online muda wote

Njoo kwangu nicheki pm Miss Halima mimi ndio faraja ya upweke ntakupenda, ntakujali ,ntakupa muda wangu mpaka useme basi
 
Jaribu kuacha kumtafuta sana na yeye aku miss.

Sasa wewe mtu kabla hajakumiss unamtafutatafuta kila siku.

Kwani wewe huna cha kufanya zaidi ya kumtafuta hiyo mtu?

Lazima atakuchoka tu.
Hapa umenena kaka mahusiano kila siku wewe ni wa kwanza mahusiano gani

Ajaribu kuacha kumtafuta aone
Kama anapendwa itakua zamu yake kutafutwa

Ila kama alikua hapendwi mahusiano ndiyo yameisha hivyo maana hatotafutwa na bora ajue nafasi yake mapema ajikatae
 
Mbona mimi namtafuta Seran kila saa saa na silalamiki wala niniπŸ˜‚

This women drive me crazy
 
Tatizo hawezi kujizuia.

Famasiala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Badala ufocus na mambo yako upo kuvhungulia km kapost au yupo online huku ukitegemea kusema baby nikwambie kitu
 
Jishughulishe tafuta pesa, mama mzima unawaza mapenzi mchana? Acha ulimbukeni we ni mtu mzima sasa, acha kuwaza umalaya kupenda kutombwatombwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…