Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

Wakuu

Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi.

I'm very sad
Haupajui kwake?

Saazingine anatikisa kiberiti aone kama njiti zimejaa.

Lakini naziona hazijajaa ni pungufu, umeona unavyotaka kulia?

Na yeye ndivyo anavyotaka akuone na kukushuhudia ukilia kwa ajili yake, atafuurahi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…