Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi

Mapenzi ya kupimana huwa siyapendi.

Unamtumia SMS mwanamke hajibu, akikujibu baada ya masaa 6 tena kwa herufi mbili, kuumalamamaake, usenge huu. Au ukimpigia hapokei. Ukimpigia tena simu unakutana na "namba unayopiga haipatikani kwa sasa, tafadhali jaribu tena baadaye".

Unakuta mwanamke mwenyewe mshamba tu hajasoma kichwani hamna kitu, halafu anakupelekepeleka, kuumalamamaake.
Kwani alie soma ndio ana nini cha ajabu? K nayo imesoma ndio mnawapa kichwa wasomi wana gawa kila kona. Kuna mda tuna force sana mahusiano ndio maana, piga chini tembea.
 
Back
Top Bottom