Mpenzi wangu hasikii harufu ya kitu chochote,msaada tafadhali.

Mpenzi wangu hasikii harufu ya kitu chochote,msaada tafadhali.

Hali hiyo inaitwa anosmia tatizo linaweza kuwa puani au kwenye olfactory nerve so ni bora akawaona ENT Specialists kwa uchunguzi zaidi
 
Hajakutana na shuzi la poro la makande na kachumbaari...

Any way hospital ndio kila kitu... ni tatizo la kawaida kwa mtazamo wa kawaida... ila sio poa kiundani.

By the way linatibika... sema nenda hospital za kueeleweka..... sio dispensary
 
Huyo atakuwa kiziwi wa pua sasa!!!!

Nadhani hajawahi kukutana na harufu iliyochanganyikana na wali maharagwe na karanga na yale maziwa yanayotoa mafuta kupikia atasikia tu.

Any way mpeleke hospitali mkuu.
 
Back
Top Bottom