Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
- Thread starter
- #41
Manzi ya mtu aje na anatumia muda mwingi kwangu? How comes awe na mtu wake ambaye hajawahi mpigia nikasikia kwa muda wote nimekuwa nayeUzi ufungwe 🤣🤣. Huyo chalii anataka kwenda ughaibuni na manzi ya mtu.. sio poa.