Mpenzi wangu hataki tuhamie digitali!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Wakuu habari za weekend,jamani nisaidieni nifanyeje ili mpenzi wangu aelewa uzuri na utamu wa mapenzi ya kidigitali maana amenichosha na penzi la analogia kila nikimwambia tujaribu basi digitali hataki ninaposema digitali simaanishi (express your self)
 
nilikuwa na tafuta uzi wa habari za kanumba sijui ndio hii maana hata sielewi..
 

Fafanua digital ni nini?
 
Wee mpuuzi sisi hapa tunamanjonzi wewe dijitari. neda dukani kanunue na uje nayo ataipenda tu au unaonaje
 
digitali ni kitu gani? acha mafumbo kijana ila ueleze kwa staha, usiwe kama lusinde! fanya yafuatayo
1. badilisha mazingiza ya kufanyia mapenzi
2. ongea naye kuhusu trend ya uhusiano wenu na vile mna enjoy love,kisha mweleze the neede to shift to digitali

NOTE: MAPENZI NI SANAA, MNAWEZA MKAJIKUTA MMEHANIA DIGITALI TARATIIIIIBU KWA UBUNIFU WAKO.
 
Kweli kwa kusoma thread ni rahisi kujua kisomo cha mleta hiyo thread.
 
Astakafirurah,,mswalie mtume na kwaresma hiii!!!
 
unataka uwe unanyonywa dushelele? Au unataka kumnyonya kitumbua chake? Mapenzi gani hayo yanayoitwa digital zaidi tigo express yourself
 
Tayari mshachakachua neno KUHAMIA DIGITALI. Wabongo bana!
 
Tuhabarishen tukio la kifo cha kanumba
 
Niliposema penzi la analogia nilimaanisha kuvua nguo tu na kulala chali na kusubilia tu mimi nianze kuzungusha antena nikitafuta chaneli ninapojitahidi kuizima mitambo yake ya analogia ili nimuwashie ya kidigitali anasema anaona aibu hajui kuitumia hiyo mitambo ya kidigitali.
 

Mapenzi ya digatali na analogia ndio yapi hayo?

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Mtafutie kungwi ampe kitchen part, tena kungwi wa kutoka tanga ndio anafaa, atajua mambo balaa, nyote mtafurahia mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…