baraka607
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 844
- 165
Aaaaaaha huyu bwana nishamuelewa' kumbe yeye tatizo lake ni kwamba mwanamama yeye anakaa anasubiri kupelekewa moto tu badala yeye pia ajishughulishe kumpa mauno jamaa wa watu. Ko jamaa inaonekana kachoka kukata mauno daily so anataka na shemeji yetu nae ampe kanda bongo man. Hahaha kaaaaazi kwel kwel' lilia mauno jamaa angu!