Mpenzi wangu JAMES BOND, naumia Kwa kufa kwako, nilikupenda tangu utotoni

Usipende kurukia kuanzisha mada mkuu oooh kipenzi changu wakati sio hata fanatic wa 007 sequels, haya mambo yana wenyewe.
 
Boss,
Unamjua real Money Penny ??
Ukimjua huyo hutopata tabu why mleta mada kaanzisha huu Uzi.

By the way you should also know why mleta mada kajiita hivyo ndio u-judge Kama ni fanatic wa 007 or not.
 
Sawa mkuu, noted
Ni hivi,
Money Penny ni msaidizi (Secretary) wa Mr. M, ambae ndie Boss wake James Bond.

Lakini maagizo mengi (kama sio yote) kutoka kwa Mr. M kwenda kwa James Bond hua yanapitia kwa Bi. Money Penny . Ndio kusema kwamba 007 katika missions zake hukutana na Money Penny mara nyingi zaidi kuliko anavyokutana na Boss wake.

Katika usernames Zote zilizoko duniani mtu akiamua kujiita Money Penny kisha ukasema mtu huyo sio mpenzi wa filamu za 007 utakua unakosea mkuu, na pengine wewe ndio sio mpenzi wa 007.
 
Nimekuelewa mkuu,Ila hakuna James Bond ambayo sijawahi iangalia au kitabu ambacho sijasoma. I own vitabu vyote vya Harry potter na James Bond
 
Back
Top Bottom