Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea.

Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa kuagana ili kila mmoja ashike njia yake, binti akaamua kunikabidhi na kunambia kuwa amevutiwa nalo na anapenda nilitumie.

Ninachojiuliza:
Ameona kuwa mimi siogi kiasi cha kunipatia zawadi hiyo? Kwani hakuona zawadi nyingine tofauti na hiyo?

Nimesononeka sana aisee.
 
Na kama angekupa boxer ina maana boxer zako zmetoboka.. acha mawazo potofu
 
Kakupa uoge utakate, yawezekana alikukiss shingo akakutana na chumvi chumvi..
Wewe unaishi Njiro kweli au sababu ni mjini kati hasa hapo karibu na Stendi Kuu?
 
Back
Top Bottom