una miaka mingapi??Wakuu kwema?
Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wkt me nilikua namdispline tu.ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?
Mtumie msg kuwa umemnunulia Note 5 lakini kwa vile hakutaki basi utaitumia mwenyewe. Atakujibu fasta bebi hutaniwi kwanza kikofi chenyewe wala hakijauma. Tafuta box tupu la note 5 akija mpe mwambie na yeye hataniwi maana hata simu yenyewe hujanunua kweli. Na baada ya hapo kama wazungu wasemavyo u will live happily ever after....Wakuu kwema?
Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wkt me nilikua namdispline tu.ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?
miaka yangu sijui,ila nina meno 32.
Sasa unampigaje kofi mwanamke hujamuoa na wala hujamtolea mahari? Je angezima pale chini ungeiambia nini mahakama?
Acheni ujinga vijana. Mwanamke ambaye
Unampiga kwani umemuoa
hujamtolea mahari wala hujamuoa huruhusiwi kumpiga wala kumpa amri yoyote. Yeye atafanya kwa kupenda yeye na sio shuruti. Eboooooo
kwa hiyo akimuoa ni sahihi kumpiga?Unampiga kwani umemuoa