Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Yupo sana tu,anafakamia michembe huko BariadiHivi kaka yangu yupo?nimemmiss balaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sana tu,anafakamia michembe huko BariadiHivi kaka yangu yupo?nimemmiss balaaaa
Mwambie akija asisahau kunibebea na mieYupo sana tu,anafakamia michembe huko Bariadi
asante kwa busara zako mkuu.Mi naona dada ana haki ya kukukimbia kwakuwa huwezi jua kwanini alikataa,na pia uliweza kutumia kauli nzuri ama kumuacha angeweza kufanya kwa muda wake.
Ila ukimpiga kofi mara ya kwanza hilo ni kosa litakaloendelea mpaka mkiwa kwenye ndoa,labda utafute mstakabali mwingine ila akikubali kurudiana nawe,weka mbali hasira yako na funga mikono,si punching bag huyo.imagine dada yako angechapwa na kijamaa huko..eeh hayo maumivu yake.
Oh umeshakomaa kabisa.miaka yangu sijui,ila nina meno 32.