Mpenzi wangu kanitumbua

We kabila gani? Huyo mpenzi wako angekuwa wa kutokea mkoa fulani, angetoka hapo anaruka ruka kama chura huku akifurahi kuwa una mpenda na una wivu naye sana...
kwani nimempiga mimi au kapigwa na kabila?acha ukabila mkuu
 
Mi naona dada ana haki ya kukukimbia kwakuwa huwezi jua kwanini alikataa,na pia uliweza kutumia kauli nzuri ama kumuacha angeweza kufanya kwa muda wake.
Ila ukimpiga kofi mara ya kwanza hilo ni kosa litakaloendelea mpaka mkiwa kwenye ndoa,labda utafute mstakabali mwingine ila akikubali kurudiana nawe,weka mbali hasira yako na funga mikono,si punching bag huyo.imagine dada yako angechapwa na kijamaa huko..eeh hayo maumivu yake.
 
asante kwa busara zako mkuu.
 
Siku hizi wanabembelezwa mtoto wa watu toka kuzaliwa ajawai gombezwa sembuse kupigwa we uje kumpa kibao na wengine wamekuwa kila kitu kinafanywa na machine we umlabue pole njiwa kapeperuka umebaki na manyowa
 
Amekuonea. Yaani kosa moja tu anakutumbua.
 
Next time try to be more romantic muzeee lasivyo utaendelea kutumbuliwa hadi chunusi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulifanya vizuri ku mdispline
Angekuzoea huyo,sasa kamuombe msamaha ki upoleee, ye mwenyew kesha jifunza kuwa na displine by now
 
Umemsaidia BF ajaye manake daily atakua anafanya usafi akiogopa kichapo,hatimaye anajenga tabia ya usafi na anakua mke bora wa mtu!hahahahaha.
Hiyo ni sehemu ya elim mtaani km nyumbani hakufundishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…