Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Pole mkuu "Eva" nae alikuwa na bustani nzur lakini bado hakuridhika akaingia mahusiano hadi na lucifer sembuse demu wako huyoMitandao inaathiri sana mapenzi siku hizi. Just imagine status tu inaweza kufanya mtu akose usingizi...
Mkuu, sasa hivi watu wanalombana sana, sio me wala ke..ni mwendo wa kuwekana tu na hawajali kama wapo kwa mahusiano ya aina gani.
Chukua demu mwingine mjipost status na mapozi Tata Afu usmpe blockMitandao inaathiri sana mapenzi siku hizi. Just imagine status tu inaweza kufanya mtu akose usingizi...
Mkuu, sasa hivi watu wanalombana sana, sio me wala ke..ni mwendo wa kuwekana tu na hawajali kama wapo kwa mahusiano ya aina gani.
swali zuri sana hili mkuuUmejuaje sio wewe??
The moment you stop caring is the moment when things get better.Habari wakuu.
Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka whatsapp wimbo wa Mboso uitwao over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi.
Kuna haja ya kuhoji?
Kama jimbo lilikua wazi ni SAWA Ila Kama ulikua hit & run kimbia ka babuu wa kitaa 🏃🏃🏃Habari wakuu.
Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka whatsapp wimbo wa Mboso uitwao over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi.
Kuna haja ya kuhoji?
Kulombana ndio nini mkuuMitandao inaathiri sana mapenzi siku hizi. Just imagine status tu inaweza kufanya mtu akose usingizi...
Mkuu, sasa hivi watu wanalombana sana, sio me wala ke..ni mwendo wa kuwekana tu na hawajali kama wapo kwa mahusiano ya aina gani.
Ni mpenzi wangu kabisa sio demuKama jimbo lilikua wazi ni SAWA Ila Kama ulikua hit & run kimbia ka babuu wa kitaa 🏃🏃🏃
Kwani kuna tofauti ya mpenzi na demu tuanzie hapo.Ni mpenzi wangu kabisa sio demu