Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu.

Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani?

Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila hisia zake ndio zinabidilika sana
 
Mimi kama mwanasayansi:

Hiyo kitu inaitwa law of vibration, ukishift vibration kwenye subconcious mind yake anajua kuwa huyu mtu sipo naye. Hii law sisi wanasayansi wabobezi tunaitumia kupata chochote tunachotaka, iwe mwanamke yeyote au amount of money tunayohitaji n.k n.k
 
Mwanasayansi au mlozi?
 
Kuna Hali fulan ya tofaut na isiyo ya kawaida utakua unaionyesha bila mwnyw kujua.
[emoji117]Ongea yako, maelezo hayanyooki[emoji4]
[emoji117]uangaliaji wako, uchangamfu usokua wa kawaida[emoji4]
[emoji117]Harufu yako, shombo ya condom, au harufu ya sabun za lodge.[emoji4]
 
Back
Top Bottom