Nenda kwenye setting kisha bonyeza 'remove bass button'
nimeanza mahusiano na huyu dada kama mwezi mmoja sasa. Mwanzoni nilidhani labda ana mafua so nikahisi hali hii itakwisha soon,but naona kama ndivyo alivyo.
Je kunaa njia ya kumsaaidia japo ipungue kidogo maana nakua uncomfortable nnapoongea nae au nnapokula uroda anatoa miguno kama dume vile.
Ushauri wenu tafadhali.
dah kazi ipoChukua computa yako instal qubase 5 baadaye ifungue hiyo program, then mchukue shem conect wire mpaka kwenye koromeo nadhani hapa ndio tatizo lilipo.sasa nenda kwenye import new sound file na mwambie aongee chochote software itadetect .sasa tafutabkitu kinachoitwa noise remover then aply,boresha zaidi bonyeza de cliper,de haserna baadaye tafuta plug in nzuri utakayomuwekea nachakua zile za female sound .basi hapo tatizo kwishnei ila usisahahu kusave changes
Chukua computa yako instal qubase 5 baadaye ifungue hiyo program, then mchukue shem conect wire mpaka kwenye koromeo nadhani hapa ndio tatizo lilipo.sasa nenda kwenye import new sound file na mwambie aongee chochote software itadetect .sasa tafutabkitu kinachoitwa noise remover then aply,boresha zaidi bonyeza de cliper,de haserna baadaye tafuta plug in nzuri utakayomuwekea nachakua zile za female sound .basi hapo tatizo kwishnei ila usisahahu kusave changes
Nenda kwenye setting kisha bonyeza 'remove bass button'
Ni utani tuu mwayego asije akajaribu ampige shoti I Love You wake.akomae naye hivyohivyo kama mambo mengine poa saut ni immaterialkudadadaaaaaaaaaaaa haya majibu kiboko