Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Wewe naona una utani na Mh wetu wa huku Kawe!!
hahahahahahahaaaaaaa....! Una utani wa ngumi wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe naona una utani na Mh wetu wa huku Kawe!!
Nenda kwenye setting kisha bonyeza 'remove bass button'
Chukua computa yako instal qubase 5 baadaye ifungue hiyo program, then mchukue shem conect wire mpaka kwenye koromeo nadhani hapa ndio tatizo lilipo.sasa nenda kwenye import new sound file na mwambie aongee chochote software itadetect .sasa tafutabkitu kinachoitwa noise remover then aply,boresha zaidi bonyeza de cliper,de haserna baadaye tafuta plug in nzuri utakayomuwekea nachakua zile za female sound .basi hapo tatizo kwishnei ila usisahahu kusave changes
nimeanza mahusiano na huyu dada kama mwezi mmoja sasa. Mwanzoni nilidhani labda ana mafua so nikahisi hali hii itakwisha soon,but naona kama ndivyo alivyo.
Je kunaa njia ya kumsaaidia japo ipungue kidogo maana nakua uncomfortable nnapoongea nae au nnapokula uroda anatoa miguno kama dume vile.
Ushauri wenu tafadhali.
honey nimekujaHahahahahahah jf raha tupu!
Daaa nimecheka sana!
My Passion Lady na wewe njoo uongeze siku hapa! Jf haina mpinzani!
Aisee duni ina vituko sana!
We kweli haujapenda hapo!
Hebu mkubali alivyo
mwambie ale mayai mabichi ya kuku ya kienyeji kila cku moja kutwa mara 3.