Mpenzi wangu nampenda lakin cmwelewi kabisa

BG baba

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
42
Reaction score
4
Ndugu wapendwa kuuliza siyo ujinga. Mim nina mpenzi ambaye yuko nyumban na mim niko chuoni, mwez wa2 alidai ameshika ujauzito maana nilienda likizo fupi. Mimi nilifurahi lakin yeye akawa anadai 2itoe nikamkatalia kabisa na 2kakubaliana tulee, sikumoja akaniomba akacheze netball nilimkubalia, ajabu baadaye akadai wakat wakcheza, mpira umempiga 2mbon na 2mbo linauma nikamwambia nenda hospital. Asubuh yake ananiambia damu inamtoka hvyo mimba imetoka. Je ni kwel mpaka sasa sina jbu naomba msaada wenu wadau.
 
kha....kweli huyo katafuta mazingira hahaha wanwake hawa bana!!!
wee huo nao ndio uwe mwisho wa mahusiano yenu
 
Hehehehe. . . Nahisi kua alikua anakutania/anakupima alafu baadae akashindwa kukuambia ukweli.
 
sidhani kama palikuwa na mimba hapo!
yeye alimwambia mpaka dada yake, halafu pia dada yangu ambaye yuko karibu naye alinithibitishia hilo na akadai hata chet alichotoka nacho cliniki alimwonyesha
 
Simple, hakuwa ready kuwa mama atakuwa na vigezo vyake as long as hajakuwa mkeo huwezi lazima aweke mimba. Kama kweli alitaka kulea huyo mtoto kwanini atake kucheza netball at first place
 
upo kwenye Mapenzi Kabla Ndoa, jambo hilo lipo nje ya utaratibu wa DINI yako, na hata jamii yako. Tegemea mauzauza na matatizo makubwa zaidi ya hayo. Shughulikia kurudi kwenye mstari haraka. Kumbuka huyo si mkeo bado, huna mamlaka juu yake.
 
ukisikia changa la macho ndiyo hilo sasa..
 
Inawezekana mimba haikuwa yako, ukiona manyoya.... Na usikute yule mwanaume mwingine aliyempa mimba amemshauri aitoe kwa njia yoyote ili kuficha uovu wake.
 
hiyo mimba sio ya kwako ni ya mtu mwingine ndio maana anasisitiza mkaitoe.kaka umeliwa pole sana.
 
Dah dunia hii na mikasa yake
-makini kwanza mweke chini mpe maswali yote yanayoumizwa kichwa chako kuhusu hii mimba
Jipime mwenyewe bado unamhitaji huyu bint, lini utamwoa
Je una uhakika hutompa mimba nyengine tena mukabishana nitoe nisitoe

Above all, kama iliposemwa huyu hajawa milki yako na umetenda short-cut so, go back to your track and make intellectual decision based on your faith and life style

-t.care
 
Alikudanganya, hizo dili wanazipiga sana wadada ili wadakishwe hela. Pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…