Ndugu wapendwa kuuliza siyo ujinga. Mim nina mpenzi ambaye yuko nyumban na mim niko chuoni, mwez wa2 alidai ameshika ujauzito maana nilienda likizo fupi. Mimi nilifurahi lakin yeye akawa anadai 2itoe nikamkatalia kabisa na 2kakubaliana tulee, sikumoja akaniomba akacheze netball nilimkubalia, ajabu baadaye akadai wakat wakcheza, mpira umempiga 2mbon na 2mbo linauma nikamwambia nenda hospital. Asubuh yake ananiambia damu inamtoka hvyo mimba imetoka. Je ni kwel mpaka sasa sina jbu naomba msaada wenu wadau.