Mpenzi wangu ndotoni hutaja jina la mvulana ambaye ni jirani yetu.

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.

Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.

Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'
 
''Ukiona manyoya jua kesha liwa''
''Ukiskia paaaa!! jua imekukosa''
''silaha pesa kisu mzigo''

Stuka mangi, hauko peke yako.
 
Wewe ni number 2 kwa sasa.
Chukua hatua unayoona inafaa
 
Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!
 
Mjomba umeshakuwa last option,yani ktk fikra zake umeshazikwa wewe!
Toka nduki na nyuma usigeuke!!
 
Imekula kipande yako arif, amka beba vyako yeya.
Katafute mpya
 
Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!

hahaa kuna mwingine alishawahi kusema hapa ameseviwa Low Battery, vituko haviishi na mshikaji kaseviwa Halima
 
he he he,pole kwa kucheka kaka....shit,huna chako hapo.sepa fasta
 
Hamna banaa! Atakuwa labda ndo anamuonaga njiani! Au anamuogopa ndo maana... Muulize kwa mahaba.
 
Hakunaga kuweweseka kwa bahati mbaya, unaye mwaza sana ndo unae mwota!
Stuka Meku.
 
Kwa nini usiende kwa wale wataalamu wa kutoa kinga isiyoonekana na kusoma nyota wakakupa tafsiri???


Ila kama ni mie, ningeshajiona nimefulia kama Kafulila!!

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…