Mpenzi wangu ndotoni hutaja jina la mvulana ambaye ni jirani yetu.

Mpenzi wangu ndotoni hutaja jina la mvulana ambaye ni jirani yetu.

Au hamjui ya kwamba 'Kimtokacho mtu ndio KIMTIACHO UNAJISI????
 
heee,jiulize hivi kwa nini hakutaji wewe?itakuwa wewe cha mtoto
 
Hii ngoma kali mimwenyewe naipenda naila denda, rusha mikono juu rusha hata miguu kama ukipenda., wew ameshawah kukutaja marangapi tokea aanze kuweweseka??
 
Back
Top Bottom