Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.
Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.
Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'
Kabisa aisee..hakunaga bahati mbaya kwenye hizo mambo..#Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa...pengine hana mahusiano nae ila anatamani awe nae kiasi kwamba anatumia muda mwingi kumuwaza..mpaka yanatokea mambo yakumuota. Mbaya sana umelala na mwenza ndani lakini fikra zipo kwa mtu mwingine....Pole bro!!Hakunaga kuweweseka kwa bahati mbaya, unaye mwaza sana ndo unae mwota!
Stuka Meku.
Kabisa aisee..hakunaga bahati mbaya kwenye hizo mambo..#Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa...pengine hana mahusiano nae ila anatamani awe nae kiasi kwamba anatumia muda mwingi kumuwaza..mpaka yanatokea mambo yakumuota. Mbaya sana umelala na mwenza ndani lakini fikra zipo kwa mtu mwingine....Pole bro!!
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.
Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.
Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'
mmmh ndio huyu huyu kumbe aisee jaman huruma bure pole kaka chukua ha2a tena fasta. hakufai huyooo.Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!
watu wako makini..hivi kumbe ni huyu huyu alisema ameseviwa khalima,mara mademu wa mtwaraa na lindi sio mchezo,maraa mpenzi wake anamtaja jirani yeke wa kiume ndotoni...huyu itakuwa muongo najaza post.kama kweliii kimbiaa faster kijana kabla kibanda hakijaa kudondokeaaa...Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!
Kabisa aisee..hakunaga bahati mbaya kwenye hizo mambo..#Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa...pengine hana mahusiano nae ila anatamani awe nae kiasi kwamba anatumia muda mwingi kumuwaza..mpaka yanatokea mambo yakumuota. Mbaya sana umelala na mwenza ndani lakini fikra zipo kwa mtu mwingine....Pole bro!!
mmmh ndio huyu huyu kumbe aisee jaman huruma bure pole kaka chukua ha2a tena fasta. hakufai huyooo.