Mpenzi wangu ni mjamzito amekutwa ana Ectopic Pregnancy

Akina mama ni wa kuheshimu sana, mimba huja na mengi na ni wakati ambapo baba unatakiwa kuonesha upendo wa hali ya juu. Hapo jitahidi kumpa huduma nzuri, jinyime jitoe as mimba inapoendelea kukua ndipo maumivu yanavyokua makali Kwa mama. Hosp watampima na kuona kama afya yake itahimili mimba hiyo au ipo safe site. Kutoa huwa ni option ya mwisho. Narudia, mama needs more care and counseling.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kiongozi japo mimi na yeye hatukai pamoja

Back
Top Bottom