Mpenzi wangu ni mvivu sana

Mpenzi wangu ni mvivu sana

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Habarini

Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli.
 
Back
Top Bottom