Mpenzi wangu ni mvivu sana

Mpenzi wangu ni mvivu sana

Huyo usioe cha msingi endelea kula mbususu.

Mimi wa hvo hawezi nipa shida Ni mwendo wa kuchakata
 
Hivi mahusiano yamekuwa magumu hivi kiasi kwamba wahusika hawawezi kuzungumza na kuelezana wanayoyapenda na wasiyoyapenda ili warekebishane badala yake ni kukimbilia ushauri wa watu wengine?

My brother, huyo mwanamke ni wako wewe, umempenda wewe na unajua ulichompendea wewe, hivyo kaa nae uzungumze nae. Vinginevyo hapa tutakupoteza kwa miruzi mingi.
 
usioe mwanamke mvivu kazi zote zitakuwa zako, halafu wanakuwaga na kiburi hao ngoja umweke ndani ndio utajuta
😀😀😀😀😀😀😀😀 mpaka kalileta hapa huyu kujuta itakuwa ngumu labda apende tu
 
Umejaribu kuongea nae kumuuliza kuhusu hio hali, possible anakua hapati usingi mzuri akiwa pekeyake, or anakua busy sana kazini hivyo akija kwako ndio akili inakua imetulia na usingizi anaupata...kuna vitu vingi vimejificha ambavyo ww mwenyewe ndio unaweza tambua
 
Habarini
Nipo kwenye mahausiano na
Kuna mawili:
1.Binti anashindwa kujipa majukumu mengine ya mke kama kukufulia, kufanya usafi na kadhalika kwa sababu bado hajawa mke wako, hujafuata taratibu so mnachakatana tu kimjini mjini, kuna wanawake ambao wako very careful hawataki kabisa kujiingiza kwenye hayo majukumu kabla ya ndoa rasmi, either kwa sababu ya experience yao binafsi huko nyuma kwa ma ex zao walikuwa wanajifanyisha hayo majukumu kisha wakaishia kuachwa solemba, au basi tu kwa maamuzi yake anaona kuwa si wakati sahihi kwake.

2.Kweli ni mvivu.
Utajuaje sasa kuwa which is which?

Kuna njia mbili za kujua hilo:
1.Kuwa mkweli na muwazi, siku moja muulize kwa mahaba tu kuwa hivi baby mbona huwa ukija hunisaidii hata kufua fua na kudeki humu ndani? Halafu msikilize kwa makini atajibu vipi (angalia pia gestures zake na reaction wakati anajibu).

2. Mfanyie uchunguzi binafsi- Mu observe anakoishi kwake mazingira yakoje? Kama hujawahi kwenda uende hapo uone kwake kupoje? Sehemu anayokaa mtu mchafu/mvivu huwa inajulikana tu.
 
Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sanaa na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hv ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli
Nyumbani kwao kazi zote anafanya dada wa kazi, usimlaumu siyo kosa lake.

Halafu na wewe usiwe kama Junior akija mpikie towa kitu sotojo mpaka yeye mwenyewe ajuwe yeye siyo muhimu kiasi hicho na siyo tegemezi.

Mimi nina familia, nikiamuwa napikia familia, nikila naosha sahani yangu watoto wote wanajuwa principal zangu, najuwa nawatengenezeq nini watoto.

Biashara ya dada wa kazo nilishapiga marufuku kwangu anakuja weekend tu kufanya deiwaka analipwa ujira wake anasepa.

Hayo ni matatizo ya malezi ya kwao na kwenu wote wawili vimeo.
 
Back
Top Bottom