Anayemuongelea sio mke...ni mdada ambaye wapo kwenye mahusianoJoanah π
Jamaa anataka mke sio sex mate
Slay queen
Mchunguze vizuri atakuwa mdigo huyoπππmchezo anatoa vzr tu
ππππππππ mpaka kalileta hapa huyu kujuta itakuwa ngumu labda apende tuusioe mwanamke mvivu kazi zote zitakuwa zako, halafu wanakuwaga na kiburi hao ngoja umweke ndani ndio utajuta
Wanawake wavivu wengi wanakuwaga na mashine tamu sana yani hadi maamuzi magumu yanakuwa kipengele bora kaja kujifariji huku kwa wazalendo πππHivi mahusiano yamekuwa magumu hivi kiasi kwamba wahusika hawawezi kuzungumza na kuelezana wanayoyapenda...
Lejendari[emoji1787][emoji1787]Wanawake wavivu wengi wanakuwaga na mashine tamu sana yani hadi maamuzi magumu yanakuwa kipengele bora kaja kujifariji huku kwa wazalendo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanapenda kujipa umuhimu wasiokuwa nao.Sasa akufulie kwani wewe mumewe?
Ni ngumu sana πππLejendari[emoji1787][emoji1787]
Kuna mawili:Habarini
Nipo kwenye mahausiano na
Nyumbani kwao kazi zote anafanya dada wa kazi, usimlaumu siyo kosa lake.Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sanaa na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hv ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.
Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli