Mpime mara mbili tatu ndo uthibitishe,
Ukiwa mjinga Story za wabongo zitakukosesha mke kizembe Sana.
Michezo ya kupakazia Watu ngoma IPO Sana mitaani, wengi wao huwa Ni wivu TU.
Mi mwnyw hiyo michezo nmecheza sana,
Tena kwa wahuni wawili tofauti
1. mhuni mmoja alikua ananisnitch kwa mamaJ kumbe behind the scene anamtaka, intelijensia yangu ilivobaini hivo nikamtengenezea tukio la kusudi mamaJ akaamini 100% Jamaa ana ngoma akaanza kumkwepa Kama ukoma na majibu ya karaha akampa uko waliko kua wanachati mafichoni jamaa Akibembeleza mzigo kwa kunisagia Mimi kunguni.
Alipozidisha bidii,
Nikatengeneza tukio jingine kumchafua kwa jamii nzima anakoishi, wakamini Jamaa ana ngoma na Yuko kwenye matumizi ya dozi.
Katakat mwaka Jana alilazwa anaumwa figo ila wengi waliamini ni ngoma, Wakajua ndo imetoka jamaa haponi.
Aliporuhusiwa kakonda anashangaa kwann walimzushia ana ngoma, na asijue behind the scene mimi ndo nmemchoma Kwa kisasi Cha kutaka kunisnitch kwa mamaJ wangu.
NB: mapenz namamaJ Yana Siri nyingi Sana nzito, Nafikiria siku niandike kitabu[emoji41]
2. Huyu wa pili ana account humu jf,
Siwez kumuelezea sana Ila nae nmemchafua kwa gharama kubwa Sana mpk ndoa yake imevunjika kwa mke kuamini jamaa ana Ukimwi, kumbe ni mchezo wa majibu feki kipind Cha mkewe kwenda kuanza kliniki.
Huyu Kuna kipind niliskia keshaanza dozi kabisa, Sijui ndo ile kujikatia tamaa hakutaka kuthibitisha au ndo ngoma alikua nayo kweli hata kabla sijamsingizia.
Huyu mwamba nna bifu nae kubwa Sana,
Tena bifu la kimya kimya na ntamnyoosha kisawa sawa mpk anaingia kaburini maana alishiriki kumuua mzaz wangu kwa tamaa yake ya fedha[emoji22]