DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hujaelewa wapi mkuu?Duh, mwamba una hekaheka nyingi sana. Ila hiyo story ya jama wa jf sijaielewa bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa wapi mkuu?Duh, mwamba una hekaheka nyingi sana. Ila hiyo story ya jama wa jf sijaielewa bado.
Chief samahani lakin kama ntakuwa naamsha hisia zilizolalaHujaelewa wapi mkuu?
Buhahahha huhahaha muhahaahha yani JF nisipoingia siku moja najisikia kuumwa mafua 😀 😀 😀 😀We new member hebu andika vizuri, mwasilika, ushauli ni nini hizo
Ni story ndefu kdg mkuu,Chief samahani lakin kama ntakuwa naamsha hisia zilizolala
Unaweza kutusaidia hicho kisa cha jamaa kushiriki mauaji ya mzazi wako?[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm niko kwenye hii situationNahitaji ushauli jinsi ya kuishi katika mahusiano na mwanamke mwenye virusi vya UKIMWI
Zaid ya kukushauri kuachana naeHata mm niko kwenye hii situation
Acha tu
Aliyehusika na mauaji ya mzazi wako yupo humu? How? Embu elezea mzee, halafu unajua kusimulia so lazima itakuwa na msisimko. Pole kwa uliyopitiaNi story ndefu kdg mkuu,
bahat mbaya mhusika mwnyw yupo humu
IPO siku nitaleta Uzi wake humu[emoji4]
Hata nikiisimulia lazima itakua na codes kdg nisiharibu Jambo langu maana mhusika bado sijamalizana nae vizur[emoji4]Aliyehusika na mauaji ya mzazi wako yupo humu? How? Embu elezea mzee, halafu unajua kusimulia so lazima itakuwa na msisimko. Pole kwa uliyopitia
Dawa ninayo inatibu kabisa mia kwa mia bei laki tano tuNahitaji ushauli jinsi ya kuishi katika mahusiano na mwanamke mwenye virusi vya UKIMWI
Nilimeondoka mdogo mdogo , tuna siku mbili sasa hatuna mawasilianoZaid ya kukushauri kuachana nae
Hakuna USHAUR wa shortcut juu ya Hilo mkuu, hata ambulance inakimbia uku inalia.
Haina namna,
kubali matokeo kuachana nae Kama kweli una uchungu na maisha yako na future yako