Mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti

Mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti

K-wire

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
278
Reaction score
288
*Kweli wasichana mna akili za usiku tu. Unakuta msichana analalamika, "Ooh nyie wavulana ata mfanyiwe nn hamridhiki, ata mpendwe mara ngap, mi mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti",,, wakati ukichunguza mapenzi yao, huyo msichana sawa alikuwa anampendwa mvulana, lakini kitandani kukata kiuno huwezi, style unajua kifo cha mende tu, kuchezea [emoji529][emoji529] hujui, kuchezea mbavu za mmeo hujui, ata kumvua boxer unahisi ka adhabu vle, we unapenda ufanyiwe tu, ata massage tu hujui, mbaya zaidi ata nauli ya kwenda gheto kwa mshikaji ambayo ni mia nne lazima akutumie buki 5 ndo uende alafu unalalamika eti kakusliti kisa unampemda. Dada embu acha ukichaa, ata Yesu alisema imani bila matendo imekufa. Mapenzi so kudai mtu unampenda tu. Wasichana mnapaswa kuelewa, wanaume kuna vitu wanapenda ambavyo nyie mnaoma simple ila wao ndo vinawapagawisha tena saana. Usikalie mvulana wangu kanisaliti alafu hufanyi self evaluation kuoa wapi ulikuwa unamiss.* *Unakuta lisichana kila likipigiwa simu na mvulana, "bby ushakula.., obvious jibu ni "bado bby sina hela.. "Asa unajiuliza ina maana bila huyo mvulana usingekuwa unakula, kama kila kitu unataka upewe basi na mke mwenza utapewa tu. Hapa kazi tu.*
*But girls stop kulalamika tu bila wenyewe kujichunguza, mapenzi sio kudai mtu unampenda kisa kila weekend unamvulia chupi. Mapenzi ni utundu flani kuanzia kitandani mpaka kwenye maongezi. Unakuta lisichana kitandani limelala tu linasubiri kutomaswa tu ata halijishughulishi ata kidogo, Hv unahisi wanaume hawana hisia pia?? au hapendwi kuchezewa...? Demu unaambiwa na mpenzi wako, bby ninyonye* [emoji529][emoji529] *we unaanza ooh nahisi Mungu hapendi..!!! Kwani nani kakwambia Mungu anapenda we uchezewe k***a... [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51].
*Tuje kwenye maongezi ya simu, unadai unampenda, sawa ni vizuri, ila hakuna siku umeweka vocha wewe km wewe na kumpigia mvulana wako, ikitokea basi ni kubeep tu. Wakati huo huo vocha kakutumia, Asa dadaangu we ni huduma kwa wateja kana kwamba hupigagi mpaka upigiwe..???* *Aya basi kakupigia, mada zooote mpaka aanzishe yeye, wewe ni passive tu, unajiuliza je, yeye ni mchungaji??? Kwmb wewe ni muumin unasikiliza mahubiri..??*[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]. *Wewe dada, mvulana pia anapenda asikie story nzuri kutoka kwako na hiyo itasaidia awe anakupigia simu ata mara tatu kwa siku maana anajua atakuta new ideas daily. Sio kila siku "aah baby hamna hela, nywele sijaset, mara kucha sijapakaa rangi,...!! Dada mme wako kwa style hii ataishia kukupigia simu mara moja kwa week*
*Kupitia ujumbe huu, naamin msichana ambaye amekuwa akilalamika sana about kusalitiwa atakuwa kajifunza kitu. Wanasema before u finger point someone, first fingerpoint urself.*
*Heri ya mwaka mpya kwa wadada wote mloelewa ujumbe huu*
*[emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523][emoji523]*
 
Aiseeh sasa apa mjini kuna zaidi ya hayo
Kweli! Wanawake wanasema wao ni empty cd nikujaza file tu wafundishe wataelewa kufanya unavotaka
 
Weka aya tusome kwa utulivu tafadhari Mkuu...
 
Back
Top Bottom