Mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti

Mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti

Asante kwakunisaidia kuandika hayo,natamani mtu fulani angekuwa hapa asome haya , maana yaani unaweza kukutana na demu yaani mpaka unajiuliza inamaana mikono yake mizito kiasi gani hadi hawezi hata kukugusa bahati mbaya ,
 
Kwaio unaweza achana na mpenzi kisa hajui kukata viuno
 
Sio kila siku "aah baby hamna hela, nywele sijaset, mara kucha sijapakaa rangi,haaaaaa hapa panakuaga na ukakasi
 
Jamani @aspin sielewi naona maluweluwe. No kusalitiana au anamponda mtu?? Nimeshindwa hata kumalizia,sielewiiii. Niadithie basiii
Mi nlivoona anazungumziwa msichana.... nikaishia hapohapo. Unajua kesho shule zinafunguliwa... ngoja tubakie wakongwe labda tunaweza "kueleana"

Hilo la kukuhadithia hebu njoo hapa Makuti bar Bunju nikusimulie mwanzo mwisho.
 
tusiangalie upande mmoja mkuu... hata upande wetu pia ni majanga..
1. umemtongoza kakukubalia unategemea hela za pedi, kusuka, vocha aombe tena kwa mama na baba na ukubwa wote huo..

2. hayo kuchezea koni akikufanyia mengine ambayo hukuwahi kuyaona hutapata maswali ameyajulia kwa nani... na kwann wewe usiwe mwalimu wake...

3. anaposema hajala kila wakati sio kama ni kweli ila kuna kutaniana kwenye mapenzi sasa asipokutikisa wewe akamtanie nani..

mkuu umefikiria au umekurupuka tu usingizini ukatoa uzi....
 
Back
Top Bottom