Mpenzi wangu simuelewi

Mpenzi wangu simuelewi

Angalia faida za muda mrefu kwa lolote unaloliendea


Long run benefits


Maana MTU amekutaftia kazi hiyo Kazi inakupa ,hela unatimiza mipango na unaishi maisha yako safi .

Sasa kwa hilo tu inaonesha MTU wako sio mbinafsi ,anataka usonge mbele.

Kuhusu kumuumiza ukiwa na lengo hilo utaumia wewe na sio MTU wako.

Ufanye nini?

Ukimtazama MTU wako yaweza kuwa hata hana lengo la kukuumiza Ila ni attention seeker so usimuhukumu Ila nenda naye taratibu . asipobadilika badilika wewe.


Jiepushe na negativity sehemu yoyote uliyopo Katika mabaya mengi wewe tazama mazuri.
So anafanya hivyo kuniumiza ili niwe na wivu naye au vipi maana simuelewi Kila saa yupo na huyo demu na demu mwenyewe anapenda kumtega jamaa na mavazi pia na mikao ya kuonesha sehemu zake za mwili
 
So anafanya hivyo kuniumiza ili niwe na wivu naye au vipi maana simuelewi Kila saa yupo na huyo demu na demu mwenyewe anapenda kumtega jamaa na mavazi pia na mikao ya kuonesha sehemu zake za mwili




Kuna kitu Fulani kipo hivi ?

Unapojua MTU Ana udhaifu fulani mfano ni MTU wako anapenda kupiga story na wanawake Sana mbele yako

Wewe usipende kumwambia hizo habari Mara kwa Mara na kuzirudia rudia .

Unachobidi ni kumkubsha kwamba "Mr do you know that ur already taken"

Hii itasababisha hata Kama alikuwa ana mpango hata tembea naye


So ebu trace (fatilia) mahusiano yako ya nyuma uone mliachana vipi then upate ujumbe au picha.

Nahisi haujanielewa !?

Ila negativity ya kumfanya mme wako aku-cheat inaundwa kupitia maneno yako mwenyewe.

Hii IPO
Psychological and spiritually.
 
Hello jf natumai mko poa...Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza Sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi Yao kitengo alichopo nikaanza kazi
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke Fulani hapa kazini nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani
Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nn?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi
Ushauri tafadhalini nitumie njia gani na Mimi nimuumize aache kunisumbua
dawa ndogo nawe anza kuflirt na wanaume
 
Kama umeshamwambia inatosha acha kisirani. Wanaume siku zote kitu unachokilalamikia mara kwa mara ndicho huendelea kufanya. Hivyo jifanye nawe kama hilo jambo halikuumizi mbele yake sometimes unaweza kukuta wamekaa hivyo unawasalimia tu unacheka muda mwingine mtanie ushamsalimia fulani leo? Akiona una furaha kama kweli anakupenda atakufuata mzungumze ndipo utamwambia tena kwa upole tu nilikuacha ufurahie maana inaonekana ndicho kinachokupa furaha.
 
Back
Top Bottom