Mpenzi wangu simuelewi

So anafanya hivyo kuniumiza ili niwe na wivu naye au vipi maana simuelewi Kila saa yupo na huyo demu na demu mwenyewe anapenda kumtega jamaa na mavazi pia na mikao ya kuonesha sehemu zake za mwili
 
So anafanya hivyo kuniumiza ili niwe na wivu naye au vipi maana simuelewi Kila saa yupo na huyo demu na demu mwenyewe anapenda kumtega jamaa na mavazi pia na mikao ya kuonesha sehemu zake za mwili




Kuna kitu Fulani kipo hivi ?

Unapojua MTU Ana udhaifu fulani mfano ni MTU wako anapenda kupiga story na wanawake Sana mbele yako

Wewe usipende kumwambia hizo habari Mara kwa Mara na kuzirudia rudia .

Unachobidi ni kumkubsha kwamba "Mr do you know that ur already taken"

Hii itasababisha hata Kama alikuwa ana mpango hata tembea naye


So ebu trace (fatilia) mahusiano yako ya nyuma uone mliachana vipi then upate ujumbe au picha.

Nahisi haujanielewa !?

Ila negativity ya kumfanya mme wako aku-cheat inaundwa kupitia maneno yako mwenyewe.

Hii IPO
Psychological and spiritually.
 
dawa ndogo nawe anza kuflirt na wanaume
 
Kama umeshamwambia inatosha acha kisirani. Wanaume siku zote kitu unachokilalamikia mara kwa mara ndicho huendelea kufanya. Hivyo jifanye nawe kama hilo jambo halikuumizi mbele yake sometimes unaweza kukuta wamekaa hivyo unawasalimia tu unacheka muda mwingine mtanie ushamsalimia fulani leo? Akiona una furaha kama kweli anakupenda atakufuata mzungumze ndipo utamwambia tena kwa upole tu nilikuacha ufurahie maana inaonekana ndicho kinachokupa furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…