Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Mimi nilikuwa na wangu akaolewa mwaka 2018 na mjinga mmoja mswahili sasa hivi ni mpishi kwa wachina na amezaa mtoto wa kichina 😄😄😄
 
Naskia huu uzi unatrend week hii 🙂
Mad Max mkuu huu ndio muda wa kumuomba Mungu kuliko muda wowote ule.
 
Acha nikuibie siri, tunaumia pale tunamkuta mtu mlie achana kanona na kanawiri halafu hana stress🤣🤣🤣
Hii ni kweli ndiyo maana Mimi sipendi ukaribu wowote hata mawasiliano na mwanamke tuliyeachana.
Sitaki stress
 
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Ishara ya alikuwa na nyie wawili, bahati haukutambua na alishaamua huyo ndiye wa kumuoa akakutafutia sababu kupitia ugomvi.

Songa utapata bora.. Kapime kwanza. Poleeee
 
Back
Top Bottom