Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mimi nilikuwa na wangu akaolewa mwaka 2018 na mjinga mmoja mswahili sasa hivi ni mpishi kwa wachina na amezaa mtoto wa kichina 😄😄😄
 
Mpenzi kwa miaka minne???, huyo ni mpenzi mtazamaji. Aliona huoi unachezea tu, unastahili kuachwa maana mahusiano hayakuwa focused.
 
Naskia huu uzi unatrend week hii 🙂
Mad Max mkuu huu ndio muda wa kumuomba Mungu kuliko muda wowote ule.
 
Acha nikuibie siri, tunaumia pale tunamkuta mtu mlie achana kanona na kanawiri halafu hana stress🤣🤣🤣
Hii ni kweli ndiyo maana Mimi sipendi ukaribu wowote hata mawasiliano na mwanamke tuliyeachana.
Sitaki stress
 
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Ishara ya alikuwa na nyie wawili, bahati haukutambua na alishaamua huyo ndiye wa kumuoa akakutafutia sababu kupitia ugomvi.

Songa utapata bora.. Kapime kwanza. Poleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…