Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo
 
Kama ana shida ya ndoa, awe mke wa 3, haataki basi ajitulize.

Mwenye shida ndio anafata masharti ya mganga. [emoji23]

Nishamuambia. Amekuja kwa mganga inabidi masharti nitoe mimi kama hataki amtafute mganga atakayempa masharti yeye kama mgonjwa na siyo mimi.
 
Umalaya tu huo ww tayari una wanawake zaidi ya mmoja Bado unataka kuongeza wenzio unataka tupige nyeto tuachie wenzio

Kenge wewe! Ingia chimbo uopoe binti utafune kwa raha zako. Acha wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…