Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo
Hivi haya maisha rahisi ni Tanzania nzima?
 
Tatizo kama nilivyosema eti anataka niwatimue watangizi wake nimchukue yeye.

Nimemtolea nje mazima maana kanikwaza. Yeye ndo mwenye shida alafu anajifanya kunipa masharti ya kijinga
Mbinafsi halafu anaonekana hakupendi huyo, sema amekwama tu....
 
Back
Top Bottom