Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haya maisha rahisi ni Tanzania nzima?Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo
Mbinafsi halafu anaonekana hakupendi huyo, sema amekwama tu....Tatizo kama nilivyosema eti anataka niwatimue watangizi wake nimchukue yeye.
Nimemtolea nje mazima maana kanikwaza. Yeye ndo mwenye shida alafu anajifanya kunipa masharti ya kijinga