Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Hivi ndo mnajianda kufanya UE au mmemaliza?
 
Kama anakupenda basi akubali kuwa mke wa tatu na umpangie zamu ya kukutana nae ila akigoma basi muache atafute wa kufanana nae
 
We butua mzigo mzingue atakuja kukusumbuaa uwaachaje wake zake umrudie yeye unauza friji ununue deli
 


Kwani alipokuambia mrudiane wewe umemjibu nini?
Nyie mnajuana na mnaelewana WACHA KAZI IENDELEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…