Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

Komaa na hayo maamuzi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huyo ata ukisema umuoe kama mke wa 3 anaweza fanya kila namna ili uachane na hao wake wengne abaki pekee yake
 
Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo
Hahahahah kwa kila demu alioachika tatizo huwa ni X wake!
 
Umenifurahisha sana kwamba una wanawake wengine kwa sasa ambao unachakata. Big up👍

Nasema hivyo kwasababu nna uhakika maamuzi yoyote utakayofanya kwa sasa yatakua sahihi maana huna "njaa"! Mwanaume ukiwa huna uhaba wa papuchi hua unafanya maamuzi ya busara sana tena bila kukurupuka. Vinginevyo ungekua umeshamrukia huyo x wako siku nyingi na mwisho wake ungejuta.

Ushauri: Siku zote mtu ukisha achana nae, hata mkirudiana "things will never be the same". Hakutakua na jipya sanasana lazima mtaachana tena. Ila uamuzi ni wako.
 
Hayo majibu ya mwanaume mwenye wake wawili yanashangaza kuliko hata mkasa ulioletwa hapa,

Attention Seeker mna vituko sana.

Kenge wewe! Attention seeker nani sasa?
 

Ndo manake, sina ukata kwa kweli hivyo siongozwi na mwili.
 
😅😅😒yanihawa mabinti bhana😃😃anakulamba kibuti alafu anakuweka pitStop ili siku kikiumana arudi

Ukuda huu
 
[emoji28][emoji28][emoji19]yanihawa mabinti bhana[emoji2][emoji2]anakulamba kibuti alafu anakuweka pitStop ili siku kikiumana arudi

Ukuda huu

Very unfair
 
Mimi huwa sirudiani na mwanamke niliye achananae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…