Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wako hayumo humu?Hahahah......kama unaongeaga ugolo hapo sasa ndo ngoma inogile!! Lol
Wako hayumo humu?
Mshauri ajiunge jukwaa la introduction muda mrefu halijapata srediHayumo kabisa lawyer......lol!!
Kwan hilo linawezekana?
Lol. Usimkataze shem! tofauti kati yako wewe na yeye, wewe ni mrembo na unafatwa na katika wanaokufata wengine wako serious, lakini yeye anafata na inaweza ikawa hayuko serious kwenye kufata fata kwake. Ni human nature shem