mpenzi wangu yumo humu(uhuru sina)

mpenzi wangu yumo humu(uhuru sina)

chemsha kichwa, wewe ni ndume jizoezi solve maproblem hayo bila ya kutafuta msaada janvini humu!!!
 
tumia muda mwingi kuwaza vitu vingine japo tunajifunza kwako haijalishi andika mada tofauti na hiyo uliyozoea .sio kila wakati sioi kaninyima usingizi badilika sasa na wote mbaki humu humu JF
 
Fungua ID mpya. Kitu ambacho huyu partner wako hata Ka. Ajue.......
 
yaani wewe siku ya ku-RIP na mie natamani ni_RIP, lame excuse utakayotumia kubembelezea kuingia peponi mie ntasema to "as above'

Mtoa mada, acha ku-act up! Mbona mie mwenzangu yumo humu na huwa tunapena malike tu ya kutosha. ni vizuri ukajua mwenzio anawazaga nini, kama ni bhange unamletea home kabisaa!
Lol. Usimkataze shem! tofauti kati yako wewe na yeye, wewe ni mrembo na unafatwa na katika wanaokufata wengine wako serious, lakini yeye anafata na inaweza ikawa hayuko serious kwenye kufata fata kwake. Ni human nature shem
 
Back
Top Bottom