Khaaa...!!!Ewe mwanamke mwenzangu!
Ewe mama,ewe binti,ewe kigori,
Ukiona Weekend imeanza,Ijumaa usiku hivi,jumamosi kama leo na kesho mpenzi wako yupo bussy tu,ujue huyo ni 'mpenzi wenu'!.
Yani inawezekana wewe ndiye 'side dish',kaenda kwa mwenyewe!
Dinazarde kama mzee yupo hapo kijijini ila muda kama huu simu ipo bussy na wewe kamatia mnyonge mwenzio [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeuonaje leo rafikiSijawah ona huu uzi aisee
Mpaka Nimelewa ndio nikauonaUmeuonaje leo rafiki
Mambo[emoji8]pole sana.
Notification Ndio shida mypole sana.
Uko wapi nije?Mpaka Nimelewa ndio nikauona
Njoo Belmonte ghorofa ya tisaUko wapi nije?
Leo uko single tena..! Endelea kuigiza saa haisimami sekunde, dakika, saa, siku, wiki, mwezi, mwaka, mlongo karne, milenium mara UZEE HUU HAPA KIMARA MWISHO...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Tulio single tunacheka kichinaaa
ြိြိကိင်ငြတညညျ
ာနာနုိာိာုိိာာျာတ
ိာိာိာာိာိာိိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိ
Hi my loveNjoo Belmonte ghorofa ya tisa