MPENZI YUPO WAPI WEEKEND HII?

MPENZI YUPO WAPI WEEKEND HII?

Phoenix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
10,585
Reaction score
15,468
Ewe mwanamke mwenzangu!
Ewe mama,ewe binti,ewe kigori,
Ukiona Weekend imeanza,Ijumaa usiku hivi,jumamosi kama leo na kesho mpenzi wako yupo bussy tu,ujue huyo ni 'mpenzi wenu'!.

Yani inawezekana wewe ndiye 'side dish',kaenda kwa mwenyewe!

87c511977bfd5ca9b24abf43fc2eec23.jpg

Dinazarde kama mzee yupo hapo kijijini ila muda kama huu simu ipo bussy na wewe kamatia mnyonge mwenzio [emoji23][emoji23]
 
Khaaa...!!!
 
Tulio single tunacheka kichinaaa
ြိြိကိင်ငြတညညျ

ာနာနုိာိာုိိာာျာတ
ိာိာိာာိာိာိိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိ
 
Tulio single tunacheka kichinaaa
ြိြိကိင်ငြတညညျ

ာနာနုိာိာုိိာာျာတ
ိာိာိာာိာိာိိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိာိ
Leo uko single tena..! Endelea kuigiza saa haisimami sekunde, dakika, saa, siku, wiki, mwezi, mwaka, mlongo karne, milenium mara UZEE HUU HAPA KIMARA MWISHO...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom